Wednesday, October 31, 2012

Bondia wa Mtanzania ulingoni Afghanistan

Leo hii kutakuwa na mpambano wa ndondi wa kukata na shoka ambapo nchini Afghanstan ambapo Mtanzania Said Mbelwa ambaye ni mwanandondi wa kulipwa wa uzani wa Supper Middle na Hamid Rahimi ndiye bingwa wa ndondi nchini Afghanistan watapambana katika pambano maalumu la kuhamasisha amani nchini Afghanistan

No comments: