Monday, October 22, 2012

Mashindano ya Balimi Boat Race yafana Kigoma

DC wa Kigoma Bw Ramadhani Maneno akimkabidhi kitita cha Tsh 700,000/ Bi Mawazo Shabani
Mabingwa wa mashindano ya Balimi boat race mkoa wa kigoma upande wa wanaume Timu ya Katonga A wanaume wakishangilia mara baada ya kuwa mabingwa wa mkoa huo na kukabidhiwa jumla ya shilingi laki tisa kama zawadi ya ushindi wa kwanza 

Picha kwa hisani ya Josephatlukaza.blogspot

No comments: