Thursday, October 11, 2012

NHIF yaadhimisha siku ya Afya ya Akili DunianiWaandamanaji wakiwemo watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Lindi LUDOVICK MWANANZILA ambaye alimwakilisha waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Meneja wa kanda ya Kusini wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya JOYCE SUMBWE akimkabidhi zawadi mgeni Rasmi mara baada ya kutembelea banda hilo
Kwa hisani ya mjengwablog

No comments: