Saturday, November 24, 2012

Hali ya kisiasa nchini Misri

Rais wa Misri Mohamed Morsi akiwahutubia wananchi wa Misri na kuwaahidi kuwa anataka kuijenga Misri mpya katika misingi ya Uhuru na Demokrasia
Waandamanaji wa Misri wakiandamana kupinga kitendo cha Rais Morsi kujilimbikizia madaraka na wamemuita kuwa ni "Firauni wa zama hizi"

No comments: