Saturday, November 24, 2012

Makombora ya NATO si suluhisho

Kitendo cha jumuia ya NATO kukubali ombi la Uturuki la kupeleka makombora ya Patriot katika mpaka wa Syria na Uturuki si suluhisho la Amani katika eneo husika na badala yake, kitendo hicho kitaleta hali ya tahayari katika eneo zima la mashariki ya kati

No comments: