Friday, November 9, 2012

Darasa: Jifunze kufunga tai

Tai ni vazi linalomfanya mtu aonekane nadhifu sana. Wengi wetu hatujui namna ya ufungaji wa tai na si ajabu kumkuta mtu anapeleka tai kwa jirani ili asaidiwe namna ya kuifunga. Asante kwa wavuti.com

No comments: