Saturday, November 10, 2012

Epiq BSS 2012: Walter Chilambo aibuka kidedea

Hatimaye zile milioni 50 zilizokuwa zikishindaniwa zimenyakuliwa na mshindani aliyekuja juu na kuteka nyoyo za watu na sauti yake ambayo master jay anaiita "unique voice" si mwingine ni Walter Chilambo! Mchuano ulikuwa mkali sana hadi mwisho wa shindano ni wawaili walibaki ambao ni walter Chilambo na Salma Yusuf. ambapo walter ameondoka na kitita cha milioni hasini za kitanzania

No comments: