Wednesday, November 28, 2012

M23 Waondoka Goma

waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiondoka Goma na kuelekea kujikusanya kwenye mji wa Sake, nje kidogo ya Goma,kufuatia juhudi za kimataifana mataifa jirani

No comments: