Wednesday, November 28, 2012

Tusiharibu mazingira yetu

Bwawa la Katosho lililopo nje kidogo ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji: Baadhi ya watu wanaendesha kilimo pembezoni hivyo kuhatarisha uhai wa bwawa hilo
Uchimbaji wa mawe na kokoto unafanywa katika mlima huu.

No comments: