Sunday, November 11, 2012

NEC ya CCM jana katika picha

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akisalimiana na MNEC Wilaya ya Monduli, Mh. Edward Lowassa jioni ya jana katika ukumbi wa NEC-Dodoma
Waziri Mkuu mstaafu Mh. David Cleopa Msuya akibadilishana mawazo na Mh. Abrahaman Kinana jana kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma.

No comments: