Friday, November 2, 2012

Taasisi ya Sayansi ya Chuo Kikuu cha Nelson Mandela wafanyika

Makamu wa Rais ambaye pia ni Mkuu wa chuo hicho akipanda mti wa kumbukumbu
Rais Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Chuo kikuu cha Nelson Mandela Dk Bilal wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia jijini Arusha leo tarehe 2 Nov 2012. Kulia ni Profesa Burton Mwamila ambaye ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho 

Picha kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments: