Sunday, November 4, 2012

Maonesho ya wajasiriamali mkoani Kigoma

Maonesho ya wajasiriamali yamefanyika katika manispaa ya Kigoma/Ujiji ambapo wajasiriamali kutoka mikoa ya Dodoma, Dar es salaam, Tabora, Singida na Kigoma walionesha na kuuza bidhaa mbalimbali wanazotengeneza. Maonesho hayo yamefanyika kwa muda wa wiki moja na yalifanyika katika viwanja vya Community Centre mjini hapa

No comments: