Tuesday, November 13, 2012

Treni ya kisasa yazinduliwa nchini Kenya

Shirika la reli nchini Kenya limezindua treni mpya ambayo ina mwendo wa kasi ili kutoa huduma kwa wakazi wa viungani mwa mji wa Nairobi.

No comments: