Tuesday, November 13, 2012

Uchaguzi kumpata Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa na Makamu wake wawili wafanyika

Mgombea wa Uenyekiti wa CCM, Taifa, Rais Jakaya Kikwete akipiga kura kuchagua wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, jioni hii, kwenye ukumbi wa Kizota, Dodoma. Kulia ni Mgombea Umakamu Mwenyekiti (Bara) Philip Mangula na watatu kulia ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni.
Wajumbe wakipiga kura kuchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa, jioni hii, kwenye ukumbi wa Kizota, Dodoma
Biashara ya vyakula imepamba moto eneo la Kizota. Picha na Bashir Nkoromo

No comments: