Wednesday, November 14, 2012

Ufundi wa kutengeneza mafuta ya mawese

Matunda"ngazi" yakichemshwa ili kuyalainisha
Baada ya ngazi kuiva, hapa shughuli ya kukamua inafanyika
Hapa mawese yanachujwa ili kuyatenganisha na maji pamoja na makapi tayari kwa kuwekwa katika madumu na kupelekwa sokoni

3 comments:

Baraka Kamphambe said...

aise habari.. naomba kujua bei ya hayo mafuta kwa lita ama ujazo mkubwa zaidi

Baraka Kamphambe said...

aise habari yako! naomba kujua bei ya mafuta hayo kwa lita ama ujazo mkubwa zaidi.

Baraka Kamphambe said...

habari yako! tafadhali naomba unifahamishe bei ya hayo mafuta kwa lita ama ujazo mkubwa zaidi.