Wednesday, November 14, 2012

Usafiri katika mto Malagarasi kijijini Ilagala

Mitumbwi kama hii si salama sana ingawa pia hutumika katika kusafirisha watu na mali zao
<
Pichani ni MV ILAGALA tegemeo usafiri kwa wanavijiji wa kata ya Sunuka wanaohitaji kufika Tarafani Ilagala na wanaoelekea wilayani Kigoma kwa shughuli mbalimbali.

No comments: