Monday, November 26, 2012

Waasi wa M23 kukutana na Rais Kabila

Waasi wa M23 wametangaza kuanzisha mazungumzo na rais wa jamhuri ya kidemokrasi ya Congo Joseph Kabila,saa chache baada ya mkutano wa kimkoa kulitaka kundi hilo kusitisha mashambulizi yake mashariki mwa nchi hiyo

No comments: