Tuesday, December 18, 2012

Mahafali ya Chuo cha Hali ya Hewa (TMA), Kigoma

Mgeni Rasmi katika mahafali hayo ambaye ni Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe akiwahutubia wanachuo wa Chuo Cha Hali ya Hewa, Mkoani Kigoma
Dk Mwakyembe akiwa na Dkt. Agnes Lawrence Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA)
Wahitimu katika picha ya pamoja, mara baada ya kupata NONDO zao
Wasanii wa kikundi cha Mapigo Saba wakitumbuiza katika mahafali hayo

No comments: