Wednesday, December 19, 2012

Mifugo yetu sasa itapona..!

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli akisalimiana na wanakijiji wa kijiji cha Monduli Juu mkoani Arusha wakati alipokuwa akiwasili kwa ajili ya uzinduzi wa Josho la kisasa katika kijiji cha Mfereji

Mhe Lowassa akiongea na wananchi wa jamii ya kimasai

No comments: