Monday, December 10, 2012

Mashetani wa Khanga Moko wauvamia mkoa wa Kigoma

<

Wasaanii wa kundi la Khanga Moko wakionesha aina ya uchezaji wa aibu katika ukumbi wa Kizota katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji. Shoo za aina hii ni Laana na inabidi wazazi na wanaharakati wa haki za wanawake watoe tamko kulaani aina hii ya uchezaji. Kwa upande wa serikali, itumie nguvu zake kuzuia laana hii isizidi kutapakaa. Kutokana na maadili ya blog hii, baadhi ya picha "chafu zaidi" tumeshindwa kuziweka.

No comments: