Friday, January 4, 2013

Akamatwa! Aliyejitambulisha “mwanajeshi” na kupiga picha na Lema, Nassari

Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari, ila aliwahi kuwa JKT na akaacha. Amekuwa akivaa nguo hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.  
Source: http://www.wavuti.com

No comments: