Thursday, January 24, 2013

Kilimo cha mpunga mwanza, chapamba moto

Watoto wa kijiji cha Luchili wilayani Sengerema wakiandaa shamba kwa jili ya kupanda mpunga Januari 22, 2013. Zao la Mpunga hivi sasa linalimwa na wananchi wengi wa mikoa ya Mwanza na Shinyanga kwa ajili ya chakula na Biashara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: