Thursday, January 24, 2013

TAMASHA LA USIKU WA MASTAA WA FILAMU LAIVA

Mwenyekiti wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tamasha la kukusanya fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya ofisi zao litakalofanyika keshokutwa tarehe 26.01.2013 katika ukumbi wa Dar live jijini Dar. Kulia ni msanii Mrisho Mpoto na Suzan Lewis 'Natasha'.

Vitalis Maembe akionyesha mfano atakavyokamua siku hiyo.
Dude naye akitoa kionjo cha nyimbo yake atakayoitambulisha kwa mara ya kwanza siku hiyo 

Picha: Musa Mateja/GPL)

No comments: