Sunday, January 20, 2013

Mangula azungumza na wajumbe wa nyumba kumi wa kata za wilaya ya Nyamagana na Ilemela jijini Mwanza

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula akizungumza na wajumbe wa nyumba kumi wa Ilemela na Nyamagana jijini Mwanza, alipokutana nao kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo Januari 20, 2013, kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja huo
Wajumbe wa nyumba kumi wakimsilikiza Mangula alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza muda huu kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara baadaye kwenye Uwanja huo
Wajumbe wa nyumba kumi wa Ilemelea na Nyamagana jijini Mwanza, wakiwa katika foleni kwa ajili ya kumuuliza maswali Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula, alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo Januari 20, 2013 

Asante kwa nkoromoblog

No comments: