Tuesday, January 8, 2013

Mwandishi wa habari wa Radio Kwizera auawa

MWANDISHI wa Habari wa kituo cha Radio Kwizera wilayani Kakonko mkoani Kigoma, Issa Ngumba (45) ameuawa kwa kunyongwa na kisha kupigwa risasi mkono wa kushoto huku simu zake mbili na Bastola iliyotumika kumshambulia ikiacha kando ya mwili wake porini.

No comments: