Thursday, January 10, 2013

Uzinduzi wa Kilimo kwanza, Kata ya Kwadelo wilayani Kondoa

Diwani Omary Kariati wa Kata ya Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma, akizungumza na wananchi wa Kata hiyo, baada ya kuwasili katika kata hiyo jana kuzindua Kampeni ya Kilimo kwanza kwa Vijana wa Kata hiyo. Kutokana na juhudi za diwani huyo hivi sasa kata hiyo inayo matrekta 60 yanayotumika kwa kilimo cha mazao mbalimbali yakiwemo ya alizeti na ufuta.
Wasanii wa filamu, kutoka kushoto; Jacob Steven 'J B', Vicent Kigosi 'Ray', Irene Uwoya, Wema Sepetu na Single Mtambalike 'Rick Rich' walipowasili Kwadelo kwa ajili ya kushiri uzinduzi huo wa kampeni ya Kilimo Kwanza kwa vijana wa Kata hiyo.
Baadhi ya akinamama wa Kwadelo waliohudhuria hafla hiyo
Treka likionyesha mfano wa ulimaji wa kisasa kwenye shamba la shule ya sekondari ya Kwadelo wakati wa uzinduzi huo 

  kwa hisani ya Daily Nkoromo 

No comments: