Tuesday, February 19, 2013

Mh.Lowassa akabidhi bajaji

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Mh Edward Lowassa amekabidhi pikipiki nne za miguu mitatu maarufu kama majaji za kubebea mizigo zenye thamani ya kiasi cha shilingi millioni 50 kwa umoja wa vijana wilaya ya Monduli, ili kusaidia vijana kukabiliana na tatizo la Ajira. Pichani Mh Lowassa akikabidhi pikipiki hizo kwa mmoja wa viongozi wa matawi ya vijana wilayani hapo, nyumbani kwake Ngarash Monduli

No comments: