Wednesday, February 20, 2013

Rais wa Zanzibar ashiriki mazishi ya Padri Evarist Mushi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein leo ameungana na viongozi wa dini, waumini pamoja na wananchi wenye mapenzi mema, katika kutoa salamu ya mwisho kwa mwili wa Marehemu Padre Evaristus Mushi, kwenye Kanisa la Minara Miwili Mjini Zanzibar, aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojuilikana Jumapili iliyopita. Mwili wa marehemu Padre Mushi unapumzikwa leo Kitope Wilaya ya Kaskazini B, Unguja 

Kwa hisani ya www.wavuti.com

No comments: