Kamanda Kova akizungumza na James Mbatia (Mbunge, M/Kiti NCCR-Mageuzi)
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akipata maelezo
kutoka kwa Kamanda Suleimani Kova. Kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala,
Marietha Minangi.
Kifusi na Nondo mara baada ya kuanguka kwa ghorofa hilo
Ulinzi umeimarishwa
Mtoto Maisamali Karim (6) ambaye ameokolewa kutoka katika madrasa ya
Msikiti wa Khoja Shia Ithna Asheri Jamaat ulioangukiwa na jengo
l

Asante ya picha kwa Habari Mseto blog
No comments:
Post a Comment