Wanakijiji
wa kijiji cha Kazuramimba wilayani Uvinza wakifanya biashara ya vyakula
mbalimbali ikiwamo miwa, nyanya, maharage na mihogo kwa wasafiri wa
gari moshi waliokuwa wakielekea Kigoma. Kazuramimba ni eneo maarufu sana
kwa biashara ya mazao ya shambani
Jengo la stesheni ya Kazuramimba wilayani Uvinza
Wanafunzi wa shule ya msingi Kazuramimba wakielekea shule
No comments:
Post a Comment