Sunday, March 3, 2013

Mkutano wa CUF Kwamtipura Zanzibar

Wananchi wa Jimbo la Kwamtipura wakisikiliza kwa makini hutuba ya Mwakilishi wa Mji Mkongwe ambae pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF Ismail Jusa Ladu katika Mkutano wa hadhara uliofanyika huko ktk kiwanja cha mpira kwamtipira. Mwakilishi wa Mji Mkongwe ambae pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF Ismail Jusa Ladu (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Habari,Uenezi na Mawasiliano ya Umma wa CUF Salum Abdallah Bimani wakisikiliza kwa makini risala ya vijana wa jimbo la Kwamtipura katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kiwanja cha mpira kwamtipura.
 Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments: