Tuesday, March 12, 2013

Sasa ni Tshirt ndembendembe

Hii inaitwa Wet T-shirt Competition msichana anamwagiwa maji akiwa amevaa t-shirt nyepesi mpaka chuchu zake zionekane vizuri. 

Huu ni muendelezo wa mmomonyoko wa maadili katika jamii zetu, baada ya mitindo maarufu kama vile kigodoro na kanga moko kushika kasi.

No comments: