Tuesday, March 12, 2013

Taswira ya muuaji wa Padri Evarist Mushi wa Zanzibar

Jeshi la polisi Zanzibar limetoa mchoro wenye taswira ambayo inasadikiwa kuwa ndiyo sura ya muuaji wa padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Zanzibar aliyeuwawa mwezi uliopita akijiandaa kuingia Kanisani ili kuongoza ibada.

No comments: