IDDY ALLUTE

HABARI, PICHA NA MATANGAZO.....(MAWASILIANO 0766 489048)


Wednesday, June 19, 2013

Ajira ya watoto katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji

Zikiwa zimepita siku tatu tu baada ya maadhimisho ya siku ya watoto Afrika, watoto hawa wamekutwa na kamera yetu jirani na baa ya Website katika mtaa wa Mjimwema Manispaa ya Kigoma/Ujiji wakiokota na kukusanya bidhaa za vyuma chakavu kwa ajili ya kuviuza. Siku ya mtoto wa Afrika huadhimishwa tarehe 16.06 kila mwaka
Posted by Unknown at 8:31 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

SIKILIZA REDIO ZA BONGO HAPA

FREE ONLINE STREAMING RADIO
Listen to Bongo Radio
Bongo Radio
Listen to Radio Mbao - Columbus, TX
Radio Mbao
Listen to Radio One 89.5 - FM 89.5 - Dar es Salaam
Radio One 89.5

Grab widget | Radio stations
Free Live Radio Stations
FREE LIVE RADIO ONLINE
Listen to Kaya FM - FM 95.9 - Johannesburg
Kaya FM
Listen to SoukousRadio - Tampa, FL
SoukousRadio
Listen to Sud FM - FM 98.5 - Dakar
Sud FM

Grab radio widget | More radio
Free Live Radio Stations
-->

MWANAHARAKATI KUTOKA KIGOMA

Unknown
View my complete profile

Popular Posts

  • Reli ndefu kabisa duniani ya treni ya kasi yazinduliwa rasmi China
    Reli ndefu kabisa duniani ya treni ya kasi leo imezinduliwa rasmi. Reli hiyo yenye umbali wa kilomita 2298 inaunganisha mji mkuu Beijing ...
  • Tume ya Mabadiliko ya katiba yaanza kukusanya maoni katika manispaa ya Kigoma/Ujiji
    Baadhi ya Watanzania wa mkoa wa Kigoma wakiwa katika mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
  • Taswira ya mji wa Kasulu
    Picha ya mji wa Kasulu kama inavyoonekana ukiwa katika mlima Rusunwe katika kata ya Heru Juu

HABARI ZILIZO PITA

TAFUTA

WATAZAMAJI WA BLOG HII MPAKA SASA

Blog mbalimbali

  • MICHUZI
    MSAFARA WA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA 2025 WAANZA RASMI KUTOKA DAR ES SALAAM - Dar es Salaam, Julai 2, 2025 Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya ...
    2 hours ago
  • BBCSwahili.com | Mwanzo
    Amka Na BBC - Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
    3 hours ago
  • Sports Lady
    STSRS,ZAMBIA ZAGAWANA POINTI AFCON - TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo imelazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Zambia katika mchezo wa Kundi F kwenye michuano ya Kombe la Mataif...
    1 year ago
  • Wavuti - Habari
    -
  • Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
    -
Iddyalute 2012. Simple theme. Powered by Blogger.