Watalii wa ndani wakitazama Qibla ya msikiti wa kwanza katika ukanda wa Afrika ya mashariki na Kati
Hili ndilo kaburi la wapendanao
Hiki ni kisima cha ajabu. Maji yake hayapungui wala kuongezeka miaka nenda miaka rudi. Inasadikiwa kuwa yeyote anayekunywa maji haya au atakayenawa kwa kutumia maji ya kisima hiki, anapata baraka na huwa amejiepusha na nuksi mbalimbali katika maisha yake
Mti huu wa mbuyu ulikuwepo tangu karne ya 15. Karne ya 15 ni miaka 600 iliyopita
Shukrani kwa mdau wa blog hii Mr Ngoma kwa kutupatia picha na maelezo
No comments:
Post a Comment