Saturday, October 20, 2012

Bonanza la michezo la chuo cha Hali ya Hewa Kigoma


Huyu ndiye mshindi wa shindano la kukuna nazi
Chuo cha Hali ya Hewa(MET) Kigoma, leo kimefanya bonanza la michezo kwa wanachuo. Katika bonanza hilo michezo mbalimbali ilichezwa na wanachuo. Baadhi ya michezo hiyo ni mbio za vijiti, karataa, draft, kabumbu, kukuna nazi, kuruka kamba na mingine mingi

No comments: